Ukurasa Kuu | Kumi Juu | Mada Mpya | Salimisha Habari | Yako Swahili | Tafuta Swahili | Kiswahili Jukwaa | Kiswahili Wanachama | Ya Kitaalam | Ujumbe Wako | Utafiti | Majarida | Hadithi Archive | Maudhui | Mtandao Miungo | Kupata Vitu | FAQ | Kupendekeza Sisi | Huru

         Kuingia  Usiri Neno

             

 

     
 

 

 

Counseling الإستشار ::: Fatwa Request الإستفتاء ::: Prayers Request الإسترقاء ::: Donations التبرعات ::: Our Sheikh شيخنا

   
 

Ingia

Ukarasa Yako Kuu

Ujumbe Wako Salama

Ingia Kati

 
 
  Create an account

Kuwasilisha Habari :: Swahili Tafuta

 
 
 
 

 

                         

Habari Idadi ya habari na hadithi Makala

Ingia Katika Milango Mingi Ya Kheri Ya Ramadhaan
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | 26893 ka zaidi | Bao: 0)

Mwezi huu mtukufu umejaa fursa ya kujichumia mengi ya kheri ambayo thawabu zake huanzia tokea kumi hadi zaidi ya mia saba pamoja na malipo maalum yatokayo kwa Allaah kwa Mfungaji, kama alivyosema Mtume صلى الله عليه وآله وسلم
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | 26893 ka zaidi | Bao: 0)

 Posted By Posted na MediaSwahiliTeam juu ya Tuesday, October 05 @ 21:30:56 UTC (169 inasema)

 
   
   
   
   
   
   
   
 
 

 

                         

bakom domstolens rättspraxis ya Kii

Tumkumbuke Allaah Sana Na Tuombe Maghfirah Baada Ya Kutenda Mema Katika Siku Kum
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | 15549 ka zaidi | Bao: 0)

Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala):

 ((وَاذْكُرُواْ اللّهَ فِي أَيَّامٍ مَّعْدُودَاتٍ))

((Na mtajeni Allah katika zile siku zinazohisabiwa)) [Al-Baqarah:203]

Ibn 'Abbaas (Radhiya Allahu 'anhumaa) kasema: "Siku zinazohisabiwa ni siku za Tashriyq" (11, 12, 13 Dhul-Hijjah) [Al-Qurtubiy: 3.3]


(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | 15549 ka zaidi | Bao: 0)

 Posted By Posted na MediaSwahiliTeam juu ya Tuesday, October 05 @ 21:27:54 UTC (128 inasema)

 
   
   
   
   
   
   
   
 
 

 

                         

Ulimwengu wa Kiislamu na masuala ya Kiis

Hajj: Hatua Kwa Hatua: Tazama Televisheni Ya Saudi Arabia kujua wanayofanya Mahu
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | 5053 ka zaidi | Bao: 0)

1 – 7 Dhul-Hijjah – Makkah au Madiynah

Kuzuru Msikiti wa Mtume صلى الله عليه وآله وسلم  au kuweko Makkah kufanya 'Umrah (kwa Wanaofanya Hajjut-tamattu'u) na kuendelea kuswali hapo Masjidul-Haraam.


(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | 5053 ka zaidi | Bao: 0)

 Posted By Posted na MediaSwahiliTeam juu ya Tuesday, October 05 @ 21:24:16 UTC (191 inasema)

 
   
   
   
   
   
   
   
 
 

 

                         

Mkuu - teknolojia na taaluma

Makos Tanayohusu Twawaaf, Sa'y, Yanayotendeka Minaa, Katika Kisimamo Cha &#
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | 16701 ka zaidi | Bao: 0)

Makos Tanayohusu Twawaaf, Sa'y, Yanayotendeka Minaa, Katika Kisimamo Cha 'Arafah, Katika Eneo La Muzdalifah, Katika Sehemu Za Kurushia Mawe Kuzuru Kaburi La Mtume


Mahujaji wengine wanavuka kituo kilichoteuliwa kwa ajili ya ihraam katika njia za msafara wao bila ya kuwa katika hali ya ihraam au bila ya kuwa katika ihraam hapo. Wanaendelea hadi wanafika Jiddah au sehemu nyingine katika mipaka ya vituo ambako huko ndio wanaingia  katika hali ya ihraam.
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | 16701 ka zaidi | Bao: 0)

 Posted By Posted na MediaSwahiliTeam juu ya Tuesday, October 05 @ 21:21:30 UTC (150 inasema)

 
   
   
   
   
   
   
   
 
 

 

                         

Ulimwengu wa Kiislamu na masuala ya Kiis

HADIYTH ARUBAINI ZA IMAAM AN-NAWAWIY NA TAFSIYR YA KISWAHILI
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | 66110 ka zaidi | Bao: 0)

The Forty 40 Hadith Of Imam An-Nawawiyy Arabic Scripts And Full Swahili Translation

Example:

الحديث الأول

" إنما الأعمال بالنيات "

HADITHI YA 1

KILA KITENDO KWA NIA NIA YAKE


(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | 66110 ka zaidi | Bao: 0)

 Posted By Posted na MediaSwahiliTeam juu ya Tuesday, May 11 @ 22:01:15 UTC (527 inasema)

 
   
   
   
   
   
   
   
 
 

 

                         

bakom domstolens rättspraxis ya Kii

SUNNAH NZURI KATIKA UISLAM: Jibu la Sheikh 'Abdul 'Aziz bin Baaz
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | 13356 ka zaidi | Bao: 0)

SUNNAH NZURI KATIKA UISLAM: Jibu la Sheikh 'Abdul 'Aziz bin Baaz

Imetarjumiwa na Ummu Iyyaad

SWALI: 
 ((Atakayefanya Sunnah njema atapata ujira wake na ujira wa  

              yule atakayefanya kile kitendo mpaka siku ya Kiyama))

Je, kwanza hii ni Hadithi (Sahihi?) 

Pili, kama ni hadithi (Sahihi) je, Mtume صلى الله عليه وسلم aliacha jambo (la Sunnah) kwetu ambalo hakulifanya yeye ili mtu alifanye katika Uislam?? Tunaomba utufahamishe kwa kutufafanulia wazi jambo hili.


(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | 13356 ka zaidi | Bao: 0)

 Posted By Posted na MediaSwahiliTeam juu ya Tuesday, May 11 @ 21:42:33 UTC (228 inasema)

 
   
   
   
   
   
   
   
 
 

 

                         

Mkuu - teknolojia na taaluma

MATUMIZI YA KUNUFAISHA YA HABBAT SAWDAA-1 -- (HABA SODA - CHEMBE NYEUSI )
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | 5257 ka zaidi | Bao: 0)

Imefasiriwa na Iliyasa bint Maulaanah

Al-Bukhaariy anasimulia kutoka kwa Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu 'anhu) kwamba Mtume Muhammad (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) alisema.

((Habbat-Sawdaa inatibu kila kitu isipokuwa mauti)).

Yafuatayo hapa chini ni baadhi ya matatizo na magonjwa ambayo yanaweza kutibika kwa kirahisi kwa kutumia Habbat-Sawdaa.

Kwa faida ya Afya kwa ujumla:


(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | 5257 ka zaidi | Bao: 0)

 Posted By Posted na MediaSwahiliTeam juu ya Tuesday, May 11 @ 21:28:59 UTC (349 inasema)

 
   
   
   
   
   
   
   
 
 

 

                         

Mkuu - teknolojia na taaluma

MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU UISLAMU
(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | 18137 ka zaidi | Bao: 0)

 

تعريف موجز بالإسلام (بللغة السواحلية)


بسم الله الرحمن الرحيم

MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU UISLAMU 

Kila sifa njema ni zake Mwenyezi Mungu Mola wa viumbe vyote, sala na amani ziwe juu ya Imamu wa Mitume, Nabii wetu  Muhammad, na jamaa zake, na Masahaba wake wote.

Ama baada:_
   UISLAMU:_ ni kushuhudia kuwa hapana Mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu mmoja, na Muhammad (rehema na amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) ni mjumbe wa Mwenyezi Mungu, (kushuhudia) kwa moyo, na kwa ulimi, na kwa viungo.

Na (huo Uislamu) unajumuisha kuamini nguzo sita za Imani kwa kutekeleza nguzo tano za Uislamu, na nguzo mbili za Ihsani.


(Kusoma Zaidi Wa Habari Hii / Kukaa Bidhaa ... | 18137 ka zaidi | Bao: 0)

 Posted By Posted na MediaSwahiliTeam juu ya Tuesday, May 11 @ 21:01:42 UTC (236 inasema)

 
   
   
   
   
   
   
   
 
 
                         
 

Random Headlines

 
 

Ulimwengu wa Kiislamu na masuala ya Kiis
[ Ulimwengu wa Kiislamu na masuala ya Kiis ]

·Hajj: Hatua Kwa Hatua: Tazama Televisheni Ya Saudi Arabia kujua wanayofanya Mahu
·HADIYTH ARUBAINI ZA IMAAM AN-NAWAWIY NA TAFSIYR YA KISWAHILI
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
                         
 

Search

 
 


 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
                         
 

Categories Menu

 
 
Hakuna bidhaa sasa hivi kwa ajili ya kuzuia hili.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
                         
 

Languages

 
 
Mabadiliko ya lugha mbalimbali::

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
                         
 

Survey

 
 
Ambayo mojawapo ya mashirika yetu Je, wewe kama Join ili Propagate Uislamu, Jifunze Uislamu na Waisl

Awqaf Africa
Fatih-ul-Fattah
At-Taqiah Sisters
Awqaf Muslim College
Awqaf Matrimonial
EsinIslam Networks



Matokeo
Kura

Kura: 25
Maoni: 0
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
                         
 

Login

 
 
Utani

Siri

Hawana akaunti bado? Unaweza kujenga mmoja. Kama Mtumiaji aliyesajiliwa unaweza kuwa na baadhi ya faida kama meneja wa mandhari, comments Configuration na maoni post kwa jina yako.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
                         
 

Big Story of Today

 
 
Hakuna hadithi kubwa ya leo, bado.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
                         
 

Old Articles

 
 
Hakuna bidhaa sasa hivi kwa ajili ya kuzuia hili.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
                         
 

Who's Online

 
 
Saa hii, kuna hatua ya baraza na wewe mwenyewe 2 2 Mgeni (wageni) na 3 0 mwanachama (s) ambayo juu ya Hatua.

Mwanachama (wanachama) pamoja na wanachama wa Awqaf. kuona ni nyingine mbunge (s) online na wewe click Kubonyeza Hapa
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

 
 
EsinIslam The Muslim News, Top Islamic News, Islamic Rulings, Muslim Forums, Muslim News Writers, Islamic Article Writers, Islamic Studies, Muslim Portal For News, Search, Vidoes, Books And Knowledge, The Islamic Information Center For Breaking Muslim News, New Muslim Opinions And Islamic Current Affairs New Headlines, Latest Muslim News Headlines, Islamic Breaking News, Current Affairs And Updating Muslim Headlines, Videos And Newspapers Magazines Briefings, Muslim Writers, Columnists And Analysts With National And Cultural Perspectives Featuring Islamic Writers Views And Opinions, The IslamOnLine Net Experiences, The Islamic AlJazeera Net Peninsular Reports Also Available Via TheAwqaf.Com, IslamAfrica.Com, IslamicAfrica.Com<