1st Ayah 1 الأية ١الأوليبِسْم ِ اللهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
إِنَّا أَرْسَلْنَا نُوحًا إِلَىٰ قَوْمِهِ أَنْ أَنذِرْ قَوْمَكَ مِن قَبْلِ أَن
يَأْتِيَهُمْ عَذَابٌ أَلِيمٌ
Inna arsalna noohan ilaqawmihi an anthir qawmaka min qabli an ya/tiyahum
AAathabunaleem
Swahili
Hakika Sisi tulimtuma Nuh'u kwa watu wake: Uwaonye kaumu yako kabla ya kuwafikia
adhabu chungu.
|
Ayah 71:2 الأية
قَالَ يَا قَوْمِ إِنِّي لَكُمْ نَذِيرٌ مُّبِينٌ
Qala ya qawmi innee lakum natheerunmubeen
Swahili
Akasema: Enyi watu wangu! Kwa hakika mimi ni mwonyaji wa dhaahiri kwenu,
|
Ayah 71:3 الأية
أَنِ اعْبُدُوا اللهَ وَاتَّقُوهُ وَأَطِيعُونِ
Ani oAAbudoo Allaha wattaqoohuwaateeAAoon
Swahili
Ya kwamba mumuabudu Mwenyezi Mungu, na mumche Yeye, na mumt'ii.
|
Ayah 71:4 الأية
يَغْفِرْ لَكُم مِّن ذُنُوبِكُمْ وَيُؤَخِّرْكُمْ إِلَىٰ أَجَلٍ مُّسَمًّى ۚ إِنَّ
أَجَلَ اللهِ إِذَا جَاءَ لَا يُؤَخَّرُ ۖ لَوْ كُنتُمْ تَعْلَمُونَ
Yaghfir lakum min thunoobikumwayu-akhkhirkum ila ajalin musamman inna ajala
Allahiitha jaa la yu-akhkharu law kuntumtaAAlamoon
Swahili
Atakughufirieni madhambi yenu, na atakuakhirisheni mpaka muda ulio wekwa. Hakika
muda wa Mwenyezi Mungu utapo fika haucheleweshwi. Laiti mngejua!
|
Ayah 71:5 الأية
قَالَ رَبِّ إِنِّي دَعَوْتُ قَوْمِي لَيْلًا وَنَهَارًا
Qala rabbi innee daAAawtu qawmeelaylan wanahara
Swahili
Akasema: Ee Mola wangu Mlezi! Hakika mimi nimewaita watu wangu usiku na mchana,
|
Ayah 71:6 الأية
فَلَمْ يَزِدْهُمْ دُعَائِي إِلَّا فِرَارًا
Falam yazidhum duAAa-ee illafirara
Swahili
Lakini wito wangu haukuwazidisha ila kukimbia.
|
Ayah 71:7 الأية
وَإِنِّي كُلَّمَا دَعَوْتُهُمْ لِتَغْفِرَ لَهُمْ جَعَلُوا أَصَابِعَهُمْ فِي
آذَانِهِمْ وَاسْتَغْشَوْا ثِيَابَهُمْ وَأَصَرُّوا وَاسْتَكْبَرُوا اسْتِكْبَارًا
Wa-innee kullama daAAawtuhumlitaghfira lahum jaAAaloo asabiAAahum fee
athanihimwastaghshaw thiyabahum waasarroo wastakbarooistikbara
Swahili
Na hakika mimi kila nilipo waita ili upate kuwaghufiria, walijiziba masikio yao
kwa vidole vyao, na wakajigubika nguo zao, na wakakamia, na wakatakabari vikubwa
mno!
|
Ayah 71:8 الأية
ثُمَّ إِنِّي دَعَوْتُهُمْ جِهَارًا
Thumma innee daAAawtuhum jihara
Swahili
Tena niliwaita kwa uwazi,
|
Ayah 71:9 الأية
ثُمَّ إِنِّي أَعْلَنتُ لَهُمْ وَأَسْرَرْتُ لَهُمْ إِسْرَارًا
Thumma innee aAAlantu lahum waasrartu lahumisrara
Swahili
Kisha nikawatangazia kwa kelele, tena nikasema nao kwa siri.
|
Ayah 71:10 الأية
فَقُلْتُ اسْتَغْفِرُوا رَبَّكُمْ إِنَّهُ كَانَ غَفَّارًا
Faqultu istaghfiroo rabbakum innahu kanaghaffara
Swahili
Nikasema: Ombeni msamaha kwa Mola wenu Mlezi; hakika Yeye ni Mwingi wa kusamehe.
|
Ayah 71:11 الأية
يُرْسِلِ السَّمَاءَ عَلَيْكُم مِّدْرَارًا
Yursili assamaa AAalaykummidrara
Swahili
Atakuleteeni mvua inyeshe mfululizo.
|
Ayah 71:12 الأية
وَيُمْدِدْكُم بِأَمْوَالٍ وَبَنِينَ وَيَجْعَل لَّكُمْ جَنَّاتٍ وَيَجْعَل لَّكُمْ
أَنْهَارًا
Wayumdidkum bi-amwalin wabaneenawayajAAal lakum jannatin wayajAAal lakum anhara
Swahili
Na atakupeni mali na wana, na atakupeni mabustani na atakufanyieni mito.
|
Ayah 71:13 الأية
مَّا لَكُمْ لَا تَرْجُونَ لِلَّهِ وَقَارًا
Ma lakum la tarjoona lillahiwaqara
Swahili
Mna nini hamweki heshima ya Mwenyezi Mungu?
|
Ayah 71:14 الأية
وَقَدْ خَلَقَكُمْ أَطْوَارًا
Waqad khalaqakum atwara
Swahili
Na hali Yeye kakuumbeni daraja baada ya daraja?
|
Ayah 71:15 الأية
أَلَمْ تَرَوْا كَيْفَ خَلَقَ اللهُ سَبْعَ سَمَاوَاتٍ طِبَاقًا
Alam taraw kayfa khalaqa AllahusabAAa samawatin tibaqa
Swahili
Kwani hamwoni jinsi Mwenyezi Mungu alivyo ziumba mbingu saba kwa matabaka?
|
Ayah 71:16 الأية
وَجَعَلَ الْقَمَرَ فِيهِنَّ نُورًا وَجَعَلَ الشَّمْسَ سِرَاجًا
WajaAAala alqamara feehinna nooran wajaAAalaashshamsa siraja
Swahili
Na akaufanya mwezi ndani yake uwe nuru, na akalifanya jua kuwa taa?
|
Ayah 71:17 الأية
وَاللهُ أَنبَتَكُم مِّنَ الْأَرْضِ نَبَاتًا
Wallahu anbatakum mina al-ardinabata
Swahili
Na Mwenyezi Mungu amekuotesheni katika ardhi kama mimea.
|
Ayah 71:18 الأية
ثُمَّ يُعِيدُكُمْ فِيهَا وَيُخْرِجُكُمْ إِخْرَاجًا
Thumma yuAAeedukum feehawayukhrijukum ikhraja
Swahili
Kisha atakurudsheni humo na atakutoeni tena.
|
Ayah 71:19 الأية
وَاللهُ جَعَلَ لَكُمُ الْأَرْضَ بِسَاطًا
Wallahu jaAAala lakumu al-ardabisata
Swahili
Na Mwenyezi Mungu amekukunjulieni ardhi kama busati.
|
Ayah 71:20 الأية
لِّتَسْلُكُوا مِنْهَا سُبُلًا فِجَاجًا
Litaslukoo minha subulan fijaja
Swahili
Ili mtembee humo katika njia zilizo pana.
|
Ayah 71:21 الأية
قَالَ نُوحٌ رَّبِّ إِنَّهُمْ عَصَوْنِي وَاتَّبَعُوا مَن لَّمْ يَزِدْهُ مَالُهُ
وَوَلَدُهُ إِلَّا خَسَارًا
Qala noohun rabbi innahum AAasawneewattabaAAoo man lam yazidhu maluhu wawaladuhu
illakhasara
Swahili
Nuh'u akasema: Mola wangu Mlezi! Hakika hao wameniasi, na wamemfuata yule ambaye
mali yake na wanawe hawakumzidishia ila khasara.
|
Ayah 71:22 الأية
وَمَكَرُوا مَكْرًا كُبَّارًا
Wamakaroo makran kubbara
Swahili
Na wakapanga vitimbi vikubwa.
|
Ayah 71:23 الأية
وَقَالُوا لَا تَذَرُنَّ آلِهَتَكُمْ وَلَا تَذَرُنَّ وَدًّا وَلَا سُوَاعًا وَلَا
يَغُوثَ وَيَعُوقَ وَنَسْرًا
Waqaloo la tatharunna alihatakumwala tatharunna waddan wala suwaAAanwala
yaghootha wayaAAooqa wanasra
Swahili
Na wakasema: Msiwaache miungu yenu, wala msimwache Wadda wala Suwaa' wala
Yaghutha, wala Yau'qa, wala Nasra.
|
Ayah 71:24 الأية
وَقَدْ أَضَلُّوا كَثِيرًا ۖ وَلَا تَزِدِ الظَّالِمِينَ إِلَّا ضَلَالًا
Waqad adalloo katheeran walatazidi aththalimeena illa dalala
Swahili
Na hao walikwisha wapoteza wengi, wala usiwazidishie walio dhulumu ila kupotea.
|
Ayah 71:25 الأية
مِّمَّا خَطِيئَاتِهِمْ أُغْرِقُوا فَأُدْخِلُوا نَارًا فَلَمْ يَجِدُوا لَهُم مِّن
دُونِ اللهِ أَنصَارًا
Mimma khatee-atihimoghriqoo faodkhiloo naran falam yajidoo lahum min dooniAllahi
ansara
Swahili
Basi kwa ajili ya makosa yao waligharikishwa wakaingizwa Motoni, wala
hawakuwapata wa kuwanusuru badala ya Mwenyezi Mungu.
|
Ayah 71:26 الأية
وَقَالَ نُوحٌ رَّبِّ لَا تَذَرْ عَلَى الْأَرْضِ مِنَ الْكَافِرِينَ دَيَّارًا
Waqala noohun rabbi latathar AAala al-ardi mina alkafireenadayyara
Swahili
Na Nuh'u akasema: Mola wangu Mlezi! Usimwache juu ya ardhi mkaazi wake yeyote
katika makafiri!
|
Ayah 71:27 الأية
إِنَّكَ إِن تَذَرْهُمْ يُضِلُّوا عِبَادَكَ وَلَا يَلِدُوا إِلَّا فَاجِرًا
كَفَّارًا
Innaka in tatharhum yudillooAAibadaka wala yalidoo illa fajirankaffara
Swahili
Hakika ukiwaacha watawapoteza waja wako, wala wao hawatazaa ila waovu makafiri.
|
Ayah 71:28 الأية
رَّبِّ اغْفِرْ لِي وَلِوَالِدَيَّ وَلِمَن دَخَلَ بَيْتِيَ مُؤْمِنًا
وَلِلْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ وَلَا تَزِدِ الظَّالِمِينَ إِلَّا تَبَارًا
Rabbi ighfir lee waliwalidayyawaliman dakhala baytiya mu/minan walilmu/mineena
walmu/minatiwala tazidi aththalimeena illatabaran
Swahili
Mola wangu Mlezi! Nighufirie mimi na wazazi wangu, na kila aliye ingia nyumbani
mwangu kuwa ni mwenye kuamini, na Waumini wote wanaume, na Waumini wanawake. Na
wala usiwazidishie walio dhulumu ila kupotea.
|
©
EsinIslam.Com Designed & produced by The Awqaf London. Please pray for us
|