1st Ayah 1 الأية ١الأوليبِسْم ِ اللهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
وَالْفَجْرِ
Walfajr
Swahili
Naapa kwa alfajiri,
|
Ayah 89:2 الأية
وَلَيَالٍ عَشْرٍ
Walayalin AAashr
Swahili
Na kwa masiku kumi,
|
Ayah 89:3 الأية
وَالشَّفْعِ وَالْوَتْرِ
WashshafAAi walwatr
Swahili
Na kwa viwili viwili na kimoja kimoja,
|
Ayah 89:4 الأية
وَاللَّيْلِ إِذَا يَسْرِ
Wallayli itha yasr
Swahili
Na kwa usiku unapo pita,
|
Ayah 89:5 الأية
هَلْ فِي ذَٰلِكَ قَسَمٌ لِّذِي حِجْرٍ
Hal fee thalika qasamun lithee hijr
Swahili
Je! Hapana katika haya kiapo kwa mwenye akili?
|
Ayah 89:6 الأية
أَلَمْ تَرَ كَيْفَ فَعَلَ رَبُّكَ بِعَادٍ
Alam tara kayfa faAAala rabbuka biAAad
Swahili
Kwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyo wafanya kina A'di?
|
Ayah 89:7 الأية
إِرَمَ ذَاتِ الْعِمَادِ
Irama thati alAAimad
Swahili
Wa Iram, wenye majumba marefu?
|
Ayah 89:8 الأية
الَّتِي لَمْ يُخْلَقْ مِثْلُهَا فِي الْبِلَادِ
Allatee lam yukhlaq mithluha fee albilad
Swahili
Ambao haukuumbwa mfano wake katika nchi?
|
Ayah 89:9 الأية
وَثَمُودَ الَّذِينَ جَابُوا الصَّخْرَ بِالْوَادِ
Wathamooda allatheena jaboo assakhrabilwad
Swahili
Na Thamudi walio chonga majabali huko bondeni?
|
Ayah 89:10 الأية
وَفِرْعَوْنَ ذِي الْأَوْتَادِ
WafirAAawna thee al-awtad
Swahili
Na Firauni mwenye vigingi?
|
Ayah 89:11 الأية
الَّذِينَ طَغَوْا فِي الْبِلَادِ
Allatheena taghaw fee albilad
Swahili
Ambao walifanya jeuri katika nchi?
|
Ayah 89:12 الأية
فَأَكْثَرُوا فِيهَا الْفَسَادَ
Faaktharoo feeha alfasad
Swahili
Wakakithirisha humo ufisadi?
|
Ayah 89:13 الأية
فَصَبَّ عَلَيْهِمْ رَبُّكَ سَوْطَ عَذَابٍ
Fasabba AAalayhim rabbuka sawtaAAathab
Swahili
Basi Mola wako Mlezi aliwapiga mjeledi wa adhabu.
|
Ayah 89:14 الأية
إِنَّ رَبَّكَ لَبِالْمِرْصَادِ
Inna rabbaka labilmirsad
Swahili
Hakika Mola wako Mlezi yupo kwenye mavizio anawavizia.
|
Ayah 89:15 الأية
فَأَمَّا الْإِنسَانُ إِذَا مَا ابْتَلَاهُ رَبُّهُ فَأَكْرَمَهُ وَنَعَّمَهُ
فَيَقُولُ رَبِّي أَكْرَمَنِ
Faamma al-insanu itha maibtalahu rabbuhu faakramahu wanaAAAAamahu fayaqoolu
rabbeeakraman
Swahili
Ama mtu anapo jaribiwa na Mola wake Mlezi, akamkirimu na akamneemesha, husema:
Mola wangu Mlezi amenikirimu!
|
Ayah 89:16 الأية
وَأَمَّا إِذَا مَا ابْتَلَاهُ فَقَدَرَ عَلَيْهِ رِزْقَهُ فَيَقُولُ رَبِّي
أَهَانَنِ
Waamma itha ma ibtalahufaqadara AAalayhi rizqahu fayaqoolu rabbee ahanan
Swahili
Na ama anapo mjaribu akampunguzia riziki yake, husema: Mola wangu Mlezi amenitia
unyonge!
|
Ayah 89:17 الأية
كَلَّا ۖ بَل لَّا تُكْرِمُونَ الْيَتِيمَ
Kalla bal la tukrimoonaalyateem
Swahili
Sivyo hivyo! Bali nyinyi hamuwakirimu mayatima,
|
Ayah 89:18 الأية
وَلَا تَحَاضُّونَ عَلَىٰ طَعَامِ الْمِسْكِينِ
Wala tahaddoona AAala taAAamialmiskeen
Swahili
Wala hamhimizani kulisha masikini;
|
Ayah 89:19 الأية
وَتَأْكُلُونَ التُّرَاثَ أَكْلًا لَّمًّا
Wata/kuloona atturatha aklanlamma
Swahili
Na mnakula urithi kwa ulaji wa pupa,
|
Ayah 89:20 الأية
وَتُحِبُّونَ الْمَالَ حُبًّا جَمًّا
Watuhibboona almala hubbanjamma
Swahili
Na mnapenda mali pendo la kupita kiasi.
|
Ayah 89:21 الأية
كَلَّا إِذَا دُكَّتِ الْأَرْضُ دَكًّا دَكًّا
Kalla itha dukkati al-ardudakkan dakka
Swahili
Sivyo hivyo! Itakapo vunjwa ardhi vipande vipande,
|
Ayah 89:22 الأية
وَجَاءَ رَبُّكَ وَالْمَلَكُ صَفًّا صَفًّا
Wajaa rabbuka walmalaku saffansaffa
Swahili
Na akaja Mola wako Mlezi na Malaika safu safu,
|
Ayah 89:23 الأية
وَجِيءَ يَوْمَئِذٍ بِجَهَنَّمَ ۚ يَوْمَئِذٍ يَتَذَكَّرُ الْإِنسَانُ وَأَنَّىٰ
لَهُ الذِّكْرَىٰ
Wajee-a yawma-ithin bijahannamayawma-ithin yatathakkaru al-insanu waannalahu
aththikra
Swahili
Na ikaletwa Jahannamu siku hiyo, siku hiyo mtu atakumbuka! Lakini kukumbuka huko
kutamfaa nini?
|
Ayah 89:24 الأية
يَقُولُ يَا لَيْتَنِي قَدَّمْتُ لِحَيَاتِي
Yaqoolu ya laytanee qaddamtu lihayatee
Swahili
Atasema: Laiti ningeli jitangulizia kwa uhai wangu!
|
Ayah 89:25 الأية
فَيَوْمَئِذٍ لَّا يُعَذِّبُ عَذَابَهُ أَحَدٌ
Fayawma-ithin la yuAAaththibuAAathabahu ahad
Swahili
Basi siku hiyo hataadhibu yeyote namna ya kuadhibu kwake.
|
Ayah 89:26 الأية
وَلَا يُوثِقُ وَثَاقَهُ أَحَدٌ
Wala yoothiqu wathaqahu ahad
Swahili
Wala hatafunga yeyote kama kufunga kwake.
|
Ayah 89:27 الأية
يَا أَيَّتُهَا النَّفْسُ الْمُطْمَئِنَّةُ
Ya ayyatuha annafsualmutma-inna
Swahili
Ewe nafsi iliyo tua!
|
Ayah 89:28 الأية
ارْجِعِي إِلَىٰ رَبِّكِ رَاضِيَةً مَّرْضِيَّةً
IrjiAAee ila rabbiki radiyatanmardiyya
Swahili
Rejea kwa Mola wako Mlezi umeridhika, na umemridhisha.
|
Ayah 89:29 الأية
فَادْخُلِي فِي عِبَادِي
Fadkhulee fee AAibadee
Swahili
Basi ingia miongoni mwa waja wangu,
|
Ayah 89:30 الأية
وَادْخُلِي جَنَّتِي
Wadkhulee jannatee
Swahili
Na ingia katika Pepo yangu.
|
©
EsinIslam.Com Designed & produced by The Awqaf London. Please pray for us
|