1st Ayah 1 الأية ١الأوليبِسْم ِ اللهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
يس
Ya-seen
Swahili
Ya-Sin (Y.S.).
|
Ayah 36:2 الأية
وَالْقُرْآنِ الْحَكِيمِ
Walqur-ani alhakeem
Swahili
Kwa Haki ya Qur'ani yenye hikima!
|
Ayah 36:3 الأية
إِنَّكَ لَمِنَ الْمُرْسَلِينَ
Innaka lamina almursaleen
Swahili
Hakika wewe ni miongoni mwa walio tumwa,
|
Ayah 36:4 الأية
عَلَىٰ صِرَاطٍ مُّسْتَقِيمٍ
AAala siratin mustaqeem
Swahili
Juu ya Njia Iliyo Nyooka.
|
Ayah 36:5 الأية
تَنزِيلَ الْعَزِيزِ الرَّحِيمِ
Tanzeela alAAazeezi arraheem
Swahili
Uteremsho wa Mwenye nguvu, Mwenye kurehemu.
|
Ayah 36:6 الأية
لِتُنذِرَ قَوْمًا مَّا أُنذِرَ آبَاؤُهُمْ فَهُمْ غَافِلُونَ
Litunthira qawman ma onthiraabaohum fahum ghafiloon
Swahili
Ili uwaonye watu ambao baba zao hawakuonywa , basi wao wamekuwa wenye
kughafilika.
|
Ayah 36:7 الأية
لَقَدْ حَقَّ الْقَوْلُ عَلَىٰ أَكْثَرِهِمْ فَهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ
Laqad haqqa alqawlu AAalaaktharihim fahum la yu/minoon
Swahili
Bila ya shaka kauli imekwisha thibiti juu ya wengi katika wao, kwa hivyo
hawaamini.
|
Ayah 36:8 الأية
إِنَّا جَعَلْنَا فِي أَعْنَاقِهِمْ أَغْلَالًا فَهِيَ إِلَى الْأَذْقَانِ فَهُم
مُّقْمَحُونَ
Inna jaAAalna fee aAAnaqihimaghlalan fahiya ila al-athqani fahummuqmahoon
Swahili
Tumeweka makongwa shingoni mwao, yakawafika videvuni. Kwa hivyo vichwa vyao viko
juu tu.
|
Ayah 36:9 الأية
وَجَعَلْنَا مِن بَيْنِ أَيْدِيهِمْ سَدًّا وَمِنْ خَلْفِهِمْ سَدًّا
فَأَغْشَيْنَاهُمْ فَهُمْ لَا يُبْصِرُونَ
WajaAAalna min bayni aydeehim saddanwamin khalfihim saddan faaghshaynahum fahum
la yubsiroon
Swahili
Tumeweka kizuizi mbele yao, na kizuizi nyuma yao, na tumewafunika macho yao; kwa
hivyo hawaoni.
|
Ayah 36:10 الأية
وَسَوَاءٌ عَلَيْهِمْ أَأَنذَرْتَهُمْ أَمْ لَمْ تُنذِرْهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ
Wasawaon AAalayhim aanthartahumam lam tunthirhum la yu/minoon
Swahili
Ni sawa sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawataamini.
|
Ayah 36:11 الأية
إِنَّمَا تُنذِرُ مَنِ اتَّبَعَ الذِّكْرَ وَخَشِيَ الرَّحْمَٰنَ بِالْغَيْبِ ۖ
فَبَشِّرْهُ بِمَغْفِرَةٍ وَأَجْرٍ كَرِيمٍ
Innama tunthiru mani ittabaAAaaththikra wakhashiya arrahmanabilghaybi
fabashshirhu bimaghfiratin waajrin kareem
Swahili
Hakika wewe unamwonya mwenye kufuata ukumbusho, na akamcha Arrahman, Mwingi wa
Rehema, kwa ghaibu. Basi mbashirie huyo msamaha na ujira mwema.
|
Ayah 36:12 الأية
إِنَّا نَحْنُ نُحْيِي الْمَوْتَىٰ وَنَكْتُبُ مَا قَدَّمُوا وَآثَارَهُمْ ۚ
وَكُلَّ شَيْءٍ أَحْصَيْنَاهُ فِي إِمَامٍ مُّبِينٍ
Inna nahnu nuhyeealmawta wanaktubu ma qaddamoo waatharahumwakulla shay-in
ahsaynahu fee imamin mubeen
Swahili
Hakika Sisi tunawafufua wafu, na tunayaandika wanayo yatanguliza, na wanayo
yaacha nyuma. Na kila kitu tumekihifadhi katika daftari asli lenye kubainisha.
|
Ayah 36:13 الأية
وَاضْرِبْ لَهُم مَّثَلًا أَصْحَابَ الْقَرْيَةِ إِذْ جَاءَهَا الْمُرْسَلُونَ
Wadrib lahum mathalan as-habaalqaryati ith jaaha almursaloon
Swahili
Na wapigie mfano wa wakaazi wa mji walipo wafikia walio tumwa.
|
Ayah 36:14 الأية
إِذْ أَرْسَلْنَا إِلَيْهِمُ اثْنَيْنِ فَكَذَّبُوهُمَا فَعَزَّزْنَا بِثَالِثٍ
فَقَالُوا إِنَّا إِلَيْكُم مُّرْسَلُونَ
Ith arsalna ilayhimu ithnaynifakaththaboohuma faAAazzazna bithalithinfaqaloo
inna ilaykum mursaloon
Swahili
Tulipo watumia wawili, wakawakanusha. Basi tukawazidishia nguvu kwa mwingine wa
tatu. Wakasema: Hakika sisi tumetumwa kwenu.
|
Ayah 36:15 الأية
قَالُوا مَا أَنتُمْ إِلَّا بَشَرٌ مِّثْلُنَا وَمَا أَنزَلَ الرَّحْمَٰنُ مِن
شَيْءٍ إِنْ أَنتُمْ إِلَّا تَكْذِبُونَ
Qaloo ma antum illabasharun mithluna wama anzala arrahmanumin shay-in in antum
illa takthiboon
Swahili
Wakasema: Nyinyi si chochote ila ni watu kama sisi. Na Mwingi wa Rehema
hakuteremsha kitu. Nyinyi mnasema uwongo tu.
|
Ayah 36:16 الأية
قَالُوا رَبُّنَا يَعْلَمُ إِنَّا إِلَيْكُمْ لَمُرْسَلُونَ
Qaloo rabbuna yaAAlamu innailaykum lamursaloon
Swahili
Wakasema: Mola wetu Mlezi anajua kwamba hakika sisi tumetumwa kwenu.
|
Ayah 36:17 الأية
وَمَا عَلَيْنَا إِلَّا الْبَلَاغُ الْمُبِينُ
Wama AAalayna illaalbalaghu almubeen
Swahili
Wala si juu yetu ila kufikisha ujumbe ulio wazi.
|
Ayah 36:18 الأية
قَالُوا إِنَّا تَطَيَّرْنَا بِكُمْ ۖ لَئِن لَّمْ تَنتَهُوا لَنَرْجُمَنَّكُمْ
وَلَيَمَسَّنَّكُم مِّنَّا عَذَابٌ أَلِيمٌ
Qaloo inna tatayyarnabikum la-in lam tantahoo lanarjumannakum walayamassannakum
minnaAAathabun aleem
Swahili
Wakasema: Sisi tumeagua kuwa nyinyi ni wakorofi. Ikiwa hamtaacha basi kwa yakini
tutakupigeni mawe, na mtapata adhabu chungu kutoka kwetu.
|
Ayah 36:19 الأية
قَالُوا طَائِرُكُم مَّعَكُمْ ۚ أَئِن ذُكِّرْتُم ۚ بَلْ أَنتُمْ قَوْمٌ
مُّسْرِفُونَ
Qaloo ta-irukum maAAakum a-in thukkirtumbal antum qawmun musrifoon
Swahili
Wakasema: Ukorofi wenu mnao wenyewe! Je! Ni kwa kuwa mnakumbushwa? Ama nyinyi ni
watu walio pindukia mipaka.
|
Ayah 36:20 الأية
وَجَاءَ مِنْ أَقْصَى الْمَدِينَةِ رَجُلٌ يَسْعَىٰ قَالَ يَا قَوْمِ اتَّبِعُوا
الْمُرْسَلِينَ
Wajaa min aqsa almadeenatirajulun yasAAa qala ya qawmi ittabiAAooalmursaleen
Swahili
Na akaja mtu mbio kutokea upande wa mbali wa mjini, akasema: Enyi watu wangu!
Wafuateni hawa walio tumwa.
|
Ayah 36:21 الأية
اتَّبِعُوا مَن لَّا يَسْأَلُكُمْ أَجْرًا وَهُم مُّهْتَدُونَ
IttabiAAoo man la yas-alukum ajranwahum muhtadoon
Swahili
Wafuateni ambao hawakutakini ujira, hali ya kuwa wenyewe wameongoka.
|
Ayah 36:22 الأية
وَمَا لِيَ لَا أَعْبُدُ الَّذِي فَطَرَنِي وَإِلَيْهِ تُرْجَعُونَ
Wama liya la aAAbudu allatheefataranee wa-ilayhi turjaAAoon
Swahili
NA KWA NINI nisimuabudu yule aliye niumba na kwake mtarejeshwa?
|
Ayah 36:23 الأية
أَأَتَّخِذُ مِن دُونِهِ آلِهَةً إِن يُرِدْنِ الرَّحْمَٰنُ بِضُرٍّ لَّا تُغْنِ
عَنِّي شَفَاعَتُهُمْ شَيْئًا وَلَا يُنقِذُونِ
Aattakhithu min doonihi alihatanin yuridni arrahmanu bidurrin la tughniAAannee
shafaAAatuhum shay-an wala yunqithoon
Swahili
Je! Niishike miungu mingine badala yake? Arrahmani, Mwingi wa Rehema, akinitakia
madhara uombezi wa hao hautanifaa kitu, wala hawataniokoa.
|
Ayah 36:24 الأية
إِنِّي إِذًا لَّفِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ
Innee ithan lafee dalalinmubeen
Swahili
Basi hakika mimi hapo nitakuwa katika upotovu ulio dhaahiri.
|
Ayah 36:25 الأية
إِنِّي آمَنتُ بِرَبِّكُمْ فَاسْمَعُونِ
Innee amantu birabbikum fasmaAAoon
Swahili
Hakika mimi nimemuamini Mola wenu Mlezi, basi nisikilizeni!
|
Ayah 36:26 الأية
قِيلَ ادْخُلِ الْجَنَّةَ ۖ قَالَ يَا لَيْتَ قَوْمِي يَعْلَمُونَ
Qeela odkhuli aljannata qala yalayta qawmee yaAAlamoon
Swahili
Akaambiwa: Ingia Peponi! Akasema: Laiti kuwa watu wangu wangeli jua
|
Ayah 36:27 الأية
بِمَا غَفَرَ لِي رَبِّي وَجَعَلَنِي مِنَ الْمُكْرَمِينَ
Bima ghafara lee rabbee wajaAAalaneemina almukrameen
Swahili
Jinsi Mola wangu Mlezi alivyo nisamehe, na akanifanya miongoni mwa walio
hishimiwa.
|
Ayah 36:28 الأية
وَمَا أَنزَلْنَا عَلَىٰ قَوْمِهِ مِن بَعْدِهِ مِن جُندٍ مِّنَ السَّمَاءِ وَمَا
كُنَّا مُنزِلِينَ
Wama anzalna AAalaqawmihi min baAAdihi min jundin mina assama-i wamakunna
munzileen
Swahili
Na hatukuwateremshia kaumu yake baada yake jeshi kutoka mbinguni, wala si wenye
kuteremsha.
|
Ayah 36:29 الأية
إِن كَانَتْ إِلَّا صَيْحَةً وَاحِدَةً فَإِذَا هُمْ خَامِدُونَ
In kanat illa sayhatanwahidatan fa-itha hum khamidoon
Swahili
Hakukuwa ila ukelele mmoja tu; na mara walizimwa!
|
Ayah 36:30 الأية
يَا حَسْرَةً عَلَى الْعِبَادِ ۚ مَا يَأْتِيهِم مِّن رَّسُولٍ إِلَّا كَانُوا بِهِ
يَسْتَهْزِئُونَ
Ya hasratan AAalaalAAibadi ma ya/teehim min rasoolin illa kanoobihi yastahzi-oon
Swahili
Nawasikitikia waja wangu. Hawajii Mtume ila wao humkejeli.
|
Ayah 36:31 الأية
أَلَمْ يَرَوْا كَمْ أَهْلَكْنَا قَبْلَهُم مِّنَ الْقُرُونِ أَنَّهُمْ إِلَيْهِمْ
لَا يَرْجِعُونَ
Alam yaraw kam ahlakna qablahum minaalqurooni annahum ilayhim la yarjiAAoon
Swahili
Je! Hawaoni umma ngapi tulizo ziangamiza kabla yao? Hakika hao hawarejei tena
kwao.
|
Ayah 36:32 الأية
وَإِن كُلٌّ لَّمَّا جَمِيعٌ لَّدَيْنَا مُحْضَرُونَ
Wa-in kullun lamma jameeAAun ladaynamuhdaroon
Swahili
Na hapana mmoja ila wote watakusanywa waletwe mbele yetu.
|
Ayah 36:33 الأية
وَآيَةٌ لَّهُمُ الْأَرْضُ الْمَيْتَةُ أَحْيَيْنَاهَا وَأَخْرَجْنَا مِنْهَا
حَبًّا فَمِنْهُ يَأْكُلُونَ
Waayatun lahumu al-ardualmaytatu ahyaynaha waakhrajna minhahabban faminhu
ya/kuloon
Swahili
Na Ishara hiyo kwao - ardhi iliyo kufa, nasi tukaifufua, na tukatoa ndani yake
nafaka, wakawa wanazila!
|
Ayah 36:34 الأية
وَجَعَلْنَا فِيهَا جَنَّاتٍ مِّن نَّخِيلٍ وَأَعْنَابٍ وَفَجَّرْنَا فِيهَا مِنَ
الْعُيُونِ
WajaAAalna feeha jannatinmin nakheelin waaAAnabin wafajjarna feehamina alAAuyoon
Swahili
Na tukafanya ndani yake mabustani ya mitende na mizabibu, na tukatimbua chemchem
ndani yake,
|
Ayah 36:35 الأية
لِيَأْكُلُوا مِن ثَمَرِهِ وَمَا عَمِلَتْهُ أَيْدِيهِمْ ۖ أَفَلَا يَشْكُرُونَ
Liya/kuloo min thamarihi wamaAAamilat-hu aydeehim afala yashkuroon
Swahili
Ili wale matunda yake, na hayo hayakufanywa na mikono yao! Basi je, hawashukuru?
|
Ayah 36:36 الأية
سُبْحَانَ الَّذِي خَلَقَ الْأَزْوَاجَ كُلَّهَا مِمَّا تُنبِتُ الْأَرْضُ وَمِنْ
أَنفُسِهِمْ وَمِمَّا لَا يَعْلَمُونَ
Subhana allathee khalaqaal-azwaja kullaha mimma tunbitu al-arduwamin anfusihim
wamimma la yaAAlamoon
Swahili
Subhana, Ametakasika, aliye umba dume na jike vyote katika vinavyo mea katika
ardhi na katika nafsi zao, na katika wasivyo vijua.
|
Ayah 36:37 الأية
وَآيَةٌ لَّهُمُ اللَّيْلُ نَسْلَخُ مِنْهُ النَّهَارَ فَإِذَا هُم مُّظْلِمُونَ
Waayatun lahumu allaylu naslakhuminhu annahara fa-itha hum muthlimoon
Swahili
Na usiku ni Ishara kwao. Tunauvua humo mchana, mara wao wanakuwa gizani.
|
Ayah 36:38 الأية
وَالشَّمْسُ تَجْرِي لِمُسْتَقَرٍّ لَّهَا ۚ ذَٰلِكَ تَقْدِيرُ الْعَزِيزِ
الْعَلِيمِ
Washshamsu tajree limustaqarrin lahathalika taqdeeru alAAazeezi alAAaleem
Swahili
Na jua linakwenda kwa kiwango chake. Hayo ni makadirio ya Mwenye nguvu, Mwenye
kujua.
|
Ayah 36:39 الأية
وَالْقَمَرَ قَدَّرْنَاهُ مَنَازِلَ حَتَّىٰ عَادَ كَالْعُرْجُونِ الْقَدِيمِ
Walqamara qaddarnahu manazilahatta AAada kalAAurjooni alqadeem
Swahili
Na mwezi tumeupimia vituo, mpaka unakuwa kama karara kongwe.
|
Ayah 36:40 الأية
لَا الشَّمْسُ يَنبَغِي لَهَا أَن تُدْرِكَ الْقَمَرَ وَلَا اللَّيْلُ سَابِقُ
النَّهَارِ ۚ وَكُلٌّ فِي فَلَكٍ يَسْبَحُونَ
La ashshamsu yanbaghee lahaan tudrika alqamara wala allaylu sabiqu
annahariwakullun fee falakin yasbahoon
Swahili
Haliwi jua kuufikia mwezi, wala usiku kuupita mchana. Na vyote vinaogelea katika
njia zao.
|
Ayah 36:41 الأية
وَآيَةٌ لَّهُمْ أَنَّا حَمَلْنَا ذُرِّيَّتَهُمْ فِي الْفُلْكِ الْمَشْحُونِ
Waayatun lahum anna hamalnathurriyyatahum fee alfulki almashhoon
Swahili
Na ni Ishara kwao kwamba Sisi tuliwapakia dhuriya zao katika jahazi ilio
sheheni.
|
Ayah 36:42 الأية
وَخَلَقْنَا لَهُم مِّن مِّثْلِهِ مَا يَرْكَبُونَ
Wakhalaqna lahum min mithlihi mayarkaboon
Swahili
Na tukawaumbia kutoka mfano wake wanavyo vipanda.
|
Ayah 36:43 الأية
وَإِن نَّشَأْ نُغْرِقْهُمْ فَلَا صَرِيخَ لَهُمْ وَلَا هُمْ يُنقَذُونَ
Wa-in nasha/ nughriqhum fala sareekhalahum wala hum yunqathoon
Swahili
Na tukitaka tunawazamisha, wala hapana wa kuwasaidia, wala hawaokolewi,
|
Ayah 36:44 الأية
إِلَّا رَحْمَةً مِّنَّا وَمَتَاعًا إِلَىٰ حِينٍ
Illa rahmatan minnawamataAAan ila heen
Swahili
Isipo kuwa kwa rehema zitokazo kwetu na starehe kwa muda.
|
Ayah 36:45 الأية
وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّقُوا مَا بَيْنَ أَيْدِيكُمْ وَمَا خَلْفَكُمْ
لَعَلَّكُمْ تُرْحَمُونَ
Wa-itha qeela lahumu ittaqoo mabayna aydeekum wama khalfakum laAAallakum
turhamoon
Swahili
Na wanapo ambiwa: Jilindeni na yalioko mbele yenu na yalioko nyuma yenu, ili
mpate kurehemewa...
|
Ayah 36:46 الأية
وَمَا تَأْتِيهِم مِّنْ آيَةٍ مِّنْ آيَاتِ رَبِّهِمْ إِلَّا كَانُوا عَنْهَا
مُعْرِضِينَ
Wama ta/teehim min ayatin min ayatirabbihim illa kanoo AAanha muAArideen
Swahili
Na haiwafikii Ishara yoyote katika Ishara za Mola wao Mlezi ila wao huwa ni
wenye kuipuuza.
|
Ayah 36:47 الأية
وَإِذَا قِيلَ لَهُمْ أَنفِقُوا مِمَّا رَزَقَكُمُ اللهُ قَالَ الَّذِينَ
كَفَرُوا لِلَّذِينَ آمَنُوا أَنُطْعِمُ مَن لَّوْ يَشَاءُ اللهُ أَطْعَمَهُ إِنْ
أَنتُمْ إِلَّا فِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ
Wa-itha qeela lahum anfiqoo mimmarazaqakumu Allahu qala allatheena
kafaroolillatheena amanoo anutAAimu man law yashaoAllahu atAAamahu in antum illa
fee dalalinmubeen
Swahili
Na wanapo ambiwa: Toeni katika aliyo kupeni Mwenyezi Mungu, walio kufuru
huwaambia walio amini: Je! Tuwalishe ambao Mwenyezi Mungu angependa angeli
walisha mwenyewe? Nyinyi hammo ila katika upotofu ulio dhaahiri.
|
Ayah 36:48 الأية
وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا الْوَعْدُ إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ
Wayaqooloona mata hathaalwaAAdu in kuntum sadiqeen
Swahili
Na wanasema: Ahadi hii itatokea lini, ikiwa nyinyi ni wakweli?
|
Ayah 36:49 الأية
مَا يَنظُرُونَ إِلَّا صَيْحَةً وَاحِدَةً تَأْخُذُهُمْ وَهُمْ يَخِصِّمُونَ
Ma yanthuroona illasayhatan wahidatan ta/khuthuhum wahumyakhissimoon
Swahili
Hawangojei ila ukelele mmoja tu utakao wachukua nao wamo kuzozana.
|
Ayah 36:50 الأية
فَلَا يَسْتَطِيعُونَ تَوْصِيَةً وَلَا إِلَىٰ أَهْلِهِمْ يَرْجِعُونَ
Fala yastateeAAoona tawsiyatanwala ila ahlihim yarjiAAoon
Swahili
Basi hawataweza kuusia, wala kwa watu wao hawarejei.
|
Ayah 36:51 الأية
وَنُفِخَ فِي الصُّورِ فَإِذَا هُم مِّنَ الْأَجْدَاثِ إِلَىٰ رَبِّهِمْ يَنسِلُونَ
Wanufikha fee assoori fa-ithahum mina al-ajdathi ila rabbihim yansiloon
Swahili
Na litapulizwa barugumu, mara watatoka makaburini wakikimbilia kwa Mola wao
Mlezi.
|
Ayah 36:52 الأية
قَالُوا يَا وَيْلَنَا مَن بَعَثَنَا مِن مَّرْقَدِنَا ۜ ۗ هَٰذَا مَا وَعَدَ
الرَّحْمَٰنُ وَصَدَقَ الْمُرْسَلُونَ
Qaloo ya waylana manbaAAathana min marqadina hatha mawaAAada arrahmanu
wasadaqaalmursaloon
Swahili
Watasema: Ole wetu! Nani aliye tufufua kwenye malazi yetu? Haya ndiyo aliyo
yaahidi Mwingi wa Rehema na wakasema kweli Mitume.
|
Ayah 36:53 الأية
إِن كَانَتْ إِلَّا صَيْحَةً وَاحِدَةً فَإِذَا هُمْ جَمِيعٌ لَّدَيْنَا
مُحْضَرُونَ
In kanat illa sayhatanwahidatan fa-itha hum jameeAAun ladayna muhdaroon
Swahili
Haitakuwa ila ukelele mmoja tu, mara wote watahudhuruishwa mbele yetu.
|
Ayah 36:54 الأية
فَالْيَوْمَ لَا تُظْلَمُ نَفْسٌ شَيْئًا وَلَا تُجْزَوْنَ إِلَّا مَا كُنتُمْ
تَعْمَلُونَ
Falyawma la tuthlamunafsun shay-an wala tujzawna illa ma kuntumtaAAmaloon
Swahili
Basi leo nafsi yoyote haitadhulumiwa kitu, wala hamtalipwa ila yale mliyo kuwa
mkiyatenda.
|
Ayah 36:55 الأية
إِنَّ أَصْحَابَ الْجَنَّةِ الْيَوْمَ فِي شُغُلٍ فَاكِهُونَ
Inna as-haba aljannati alyawmafee shughulin fakihoon
Swahili
Hakika watu wa Peponi leo wamo shughulini, wamefurahi.
|
Ayah 36:56 الأية
هُمْ وَأَزْوَاجُهُمْ فِي ظِلَالٍ عَلَى الْأَرَائِكِ مُتَّكِئُونَ
Hum waazwajuhum fee thilalinAAala al-ara-iki muttaki-oon
Swahili
Wao na wake zao wamo katika vivuli wameegemea juu ya viti vya fakhari.
|
Ayah 36:57 الأية
لَهُمْ فِيهَا فَاكِهَةٌ وَلَهُم مَّا يَدَّعُونَ
Lahum feeha fakihatun walahumma yaddaAAoon
Swahili
Watapata humo kila namna ya matunda na watapata kila watakacho kitaka.
|
Ayah 36:58 الأية
سَلَامٌ قَوْلًا مِّن رَّبٍّ رَّحِيمٍ
Salamun qawlan min rabbin raheem
Swahili
"Salama!" Hiyo ndiyo kauli itokayo kwa Mola Mlezi Mwenye kurehemu.
|
Ayah 36:59 الأية
وَامْتَازُوا الْيَوْمَ أَيُّهَا الْمُجْرِمُونَ
Wamtazoo alyawma ayyuhaalmujrimoon
Swahili
Na enyi wakosefu! Jitengeni leo!
|
Ayah 36:60 الأية
أَلَمْ أَعْهَدْ إِلَيْكُمْ يَا بَنِي آدَمَ أَن لَّا تَعْبُدُوا الشَّيْطَانَ ۖ
إِنَّهُ لَكُمْ عَدُوٌّ مُّبِينٌ
Alam aAAhad ilaykum ya banee adamaan la taAAbudoo ashshaytana innahu
lakumAAaduwwun mubeen
Swahili
Je! Sikuagana nanyi, enyi wanaadamu, kuwa msimuabudu Shet'ani? Hakika yeye ni
adui dhaahiri kwenu.
|
Ayah 36:61 الأية
وَأَنِ اعْبُدُونِي ۚ هَٰذَا صِرَاطٌ مُّسْتَقِيمٌ
Waani oAAbudoonee hatha siratunmustaqeem
Swahili
Na ya kwamba mniabudu Mimi? Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka.
|
Ayah 36:62 الأية
وَلَقَدْ أَضَلَّ مِنكُمْ جِبِلًّا كَثِيرًا ۖ أَفَلَمْ تَكُونُوا تَعْقِلُونَ
Walaqad adalla minkum jibillankatheeran afalam takoonoo taAAqiloon
Swahili
Na bila ya shaka yeye amekwisha lipoteza kundi kubwa miongoni mwenu. Je, hamkuwa
mkifikiri?
|
Ayah 36:63 الأية
هَٰذِهِ جَهَنَّمُ الَّتِي كُنتُمْ تُوعَدُونَ
Hathihi jahannamu allatee kuntumtooAAadoon
Swahili
Hii basi ndiyo Jahannamu mliyo kuwa mkiahidiwa.
|
Ayah 36:64 الأية
اصْلَوْهَا الْيَوْمَ بِمَا كُنتُمْ تَكْفُرُونَ
Islawha alyawma bimakuntum takfuroon
Swahili
Ingieni leo kwa vile mlivyo kuwa mkikufuru.
|
Ayah 36:65 الأية
الْيَوْمَ نَخْتِمُ عَلَىٰ أَفْوَاهِهِمْ وَتُكَلِّمُنَا أَيْدِيهِمْ وَتَشْهَدُ
أَرْجُلُهُم بِمَا كَانُوا يَكْسِبُونَ
Alyawma nakhtimu AAala afwahihimwatukallimuna aydeehim watashhadu arjuluhum bima
kanooyaksiboon
Swahili
Leo tunaviziba vinywa vyao, na iseme nasi mikono yao, na itoe ushahidi miguu yao
kwa waliyo kuwa wakiyachuma.
|
Ayah 36:66 الأية
وَلَوْ نَشَاءُ لَطَمَسْنَا عَلَىٰ أَعْيُنِهِمْ فَاسْتَبَقُوا الصِّرَاطَ
فَأَنَّىٰ يُبْصِرُونَ
Walaw nashao latamasnaAAala aAAyunihim fastabaqoo assiratafaanna yubsiroon
Swahili
Na tungeli penda tungeli yafutilia mbali macho yao, wakawa wanaiwania njia.
Lakini wange ionaje?
|
Ayah 36:67 الأية
وَلَوْ نَشَاءُ لَمَسَخْنَاهُمْ عَلَىٰ مَكَانَتِهِمْ فَمَا اسْتَطَاعُوا مُضِيًّا
وَلَا يَرْجِعُونَ
Walaw nashao lamasakhnahumAAala makanatihim fama istataAAoo mudiyyanwala
yarjiAAoon
Swahili
Na tungeli taka tunge wageuza sura hapo hapo walipo, basi wasinge weza kwenda
wala kurudi.
|
Ayah 36:68 الأية
وَمَن نُّعَمِّرْهُ نُنَكِّسْهُ فِي الْخَلْقِ ۖ أَفَلَا يَعْقِلُونَ
Waman nuAAammirhu nunakkis-hu fee alkhalqiafala yaAAqiloon
Swahili
Na tunaye mzeesha tunamrudisha nyuma katika umbo. Basi je! hawazingatii?
|
Ayah 36:69 الأية
وَمَا عَلَّمْنَاهُ الشِّعْرَ وَمَا يَنبَغِي لَهُ ۚ إِنْ هُوَ إِلَّا ذِكْرٌ
وَقُرْآنٌ مُّبِينٌ
Wama AAallamnahu ashshiAArawama yanbaghee lahu in huwa illa thikrunwaqur-anun
mubeen
Swahili
Wala hatukumfundisha (Muhammad) mashairi, wala hayatakikani kwake hayo. Haukuwa
huu ila ni ukumbusho na Qur'ani inayo bainisha.
|
Ayah 36:70 الأية
لِّيُنذِرَ مَن كَانَ حَيًّا وَيَحِقَّ الْقَوْلُ عَلَى الْكَافِرِينَ
Liyunthira man kana hayyanwayahiqqa alqawlu AAala alkafireen
Swahili
Ili imwonye aliye hai, na neno litimie juu ya makafiri.
|
Ayah 36:71 الأية
أَوَلَمْ يَرَوْا أَنَّا خَلَقْنَا لَهُم مِّمَّا عَمِلَتْ أَيْدِينَا أَنْعَامًا
فَهُمْ لَهَا مَالِكُونَ
Awa lam yaraw anna khalaqnalahum mimma AAamilat aydeena anAAaman fahumlaha
malikoon
Swahili
Je! Hawaoni kwamba tumewaumbia kutokana na iliyo fanya mikono yetu wanyama wa
mifugo, na wao wakawa wenye kuwamiliki.
|
Ayah 36:72 الأية
وَذَلَّلْنَاهَا لَهُمْ فَمِنْهَا رَكُوبُهُمْ وَمِنْهَا يَأْكُلُونَ
Wathallalnaha lahumfaminha rakoobuhum waminha ya/kuloon
Swahili
Na Sisi tukawadhalilishia. Basi baadhi yao wako wanao wapanda, na baadhi yao
wanawala.
|
Ayah 36:73 الأية
وَلَهُمْ فِيهَا مَنَافِعُ وَمَشَارِبُ ۖ أَفَلَا يَشْكُرُونَ
Walahum feeha manafiAAu wamasharibuafala yashkuroon
Swahili
Na wao wanapata kwao manufaa na vinywaji. Basi je, hawashukuru?
|
Ayah 36:74 الأية
وَاتَّخَذُوا مِن دُونِ اللهِ آلِهَةً لَّعَلَّهُمْ يُنصَرُونَ
Wattakhathoo min dooni Allahialihatan laAAallahum yunsaroon
Swahili
Na wameishika miungu mingine badala ya Mwenyezi Mungu ili ati wapate kusaidiwa!
|
Ayah 36:75 الأية
لَا يَسْتَطِيعُونَ نَصْرَهُمْ وَهُمْ لَهُمْ جُندٌ مُّحْضَرُونَ
La yastateeAAoona nasrahumwahum lahum jundun muhdaroon
Swahili
Hawataweza kuwasaidia. Bali hao ndio watakuwa askari wao watakao hudhurishwa.
|
Ayah 36:76 الأية
فَلَا يَحْزُنكَ قَوْلُهُمْ ۘ إِنَّا نَعْلَمُ مَا يُسِرُّونَ وَمَا يُعْلِنُونَ
Fala yahzunka qawluhum innanaAAlamu ma yusirroona wama yuAAlinoon
Swahili
Basi maneno yao yasikuhuzunishe. Hakika Sisi tunayajua wanayo yaweka siri na
wanayo yatangaza.
|
Ayah 36:77 الأية
أَوَلَمْ يَرَ الْإِنسَانُ أَنَّا خَلَقْنَاهُ مِن نُّطْفَةٍ فَإِذَا هُوَ خَصِيمٌ
مُّبِينٌ
Awa lam yara al-insanu annakhalaqnahu min nutfatin fa-itha huwa khaseemunmubeen
Swahili
Kwani mwanaadamu haoni ya kwamba Sisi tumemuumba yeye kutokana na tone la manii?
Kisha sasa yeye ndio amekuwa ndiye mgomvi wa dhaahiri!
|
Ayah 36:78 الأية
وَضَرَبَ لَنَا مَثَلًا وَنَسِيَ خَلْقَهُ ۖ قَالَ مَن يُحْيِي الْعِظَامَ وَهِيَ
رَمِيمٌ
Wadaraba lana mathalanwanasiya khalqahu qala man yuhyee alAAithamawahiya rameem
Swahili
Na akatupigia mfano, na akasahau kuumbwa kwake, akasema: Ni nani huyo atakaye
ihuisha mifupa nayo imekwisha mung'unyika?
|
Ayah 36:79 الأية
قُلْ يُحْيِيهَا الَّذِي أَنشَأَهَا أَوَّلَ مَرَّةٍ ۖ وَهُوَ بِكُلِّ خَلْقٍ
عَلِيمٌ
Qul yuhyeeha allatheeanshaaha awwala marratin wahuwa bikulli khalqin AAaleem
Swahili
Sema: Ataihuisha huyo huyo aliye iumba hapo mara ya mwanzo. Na Yeye ni Mjuzi wa
kila kuumba.
|
Ayah 36:80 الأية
الَّذِي جَعَلَ لَكُم مِّنَ الشَّجَرِ الْأَخْضَرِ نَارًا فَإِذَا أَنتُم مِّنْهُ
تُوقِدُونَ
Allathee jaAAala lakum mina ashshajarial-akhdari naran fa-itha antum
minhutooqidoon
Swahili
Aliye kujaalieni kupata moto kutokana na mti wa kijani nanyi mkawa kwa huo
mnawasha.
|
Ayah 36:81 الأية
أَوَلَيْسَ الَّذِي خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ بِقَادِرٍ عَلَىٰ أَن
يَخْلُقَ مِثْلَهُم ۚ بَلَىٰ وَهُوَ الْخَلَّاقُ الْعَلِيمُ
Awa laysa allathee khalaqa assamawatiwal-arda biqadirin AAala an
yakhluqamithlahum bala wahuwa alkhallaqu alAAaleem
Swahili
Kwani aliye ziumba mbingu na ardhi hawezi kuwaumba mfano wao? Kwani! Naye ndiye
Muumbaji Mkuu, Mjuzi.
|
Ayah 36:82 الأية
إِنَّمَا أَمْرُهُ إِذَا أَرَادَ شَيْئًا أَن يَقُولَ لَهُ كُن فَيَكُونُ
Innama amruhu itha aradashay-an an yaqoola lahu kun fayakoon
Swahili
Hakika amri yake anapo taka kitu ni kukiambia tu: Kuwa! Na kikawa.
|
Ayah 36:83 الأية
فَسُبْحَانَ الَّذِي بِيَدِهِ مَلَكُوتُ كُلِّ شَيْءٍ وَإِلَيْهِ تُرْجَعُونَ
Fasubhana allathee biyadihimalakootu kulli shay-in wa-ilayhi turjaAAoon
Swahili
Basi Ametakasika yule ambaye mkononi mwake umo Ufalme wa kila kitu; na kwake
Yeye mtarejeshwa.
|
©
EsinIslam.Com Designed & produced by The Awqaf London. Please pray for us
|